Monday, May 16, 2016

Watu 11 Mbaroni Mkoani Morogoro Kwa Kumbaka na Kumdhalilisha Binti wa Miaka 21....


Watuhumiwa wawili Zuberi Thabiti (30) na Iddy Adamu (32) wanaodaiwa kushirikiana kufanikisha tukio la kumbaka na kumdhalilisha binti wa miaka 21, mkulima (jina limehifadhiwa), mkazi wa Kata ya Dakawa, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, wamekamatwa na kohojiwa na jeshi la polisi mkoani humo.